.

 

1. SISI NI NANI.?

Jina letu ni muvi zote na tunapatikana dar es salaam, Tanzania.

2. TUNAHUSIKA NA NINI.?

Tunahusika na utowaji wa huduma bora ya movie aina zote zilizotafasiliwa kwa kiswahili.

3. TUNATOAJE HUDUMA YETU.?

huduma yetu ya movie tunaitoa kupitia hii app yetu ya muvi zote na wala sio WhatsApp kama wengi walivyozoea.

4. MAELEKEZO JINSI YA KUTUMIA HII APP YETU YA MOVIE

          BONYEZA HAPA

5. MAMBO GANI MUHIMU YA KUFAHAMU KABLA YA KUJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE.?

🔹sizon zote kuanzia episode ya 1 hadi 10 ni ofa yoyote anaweza kuangalia lakini kuanzia episode ya 11 hadi mwisho zimefungwa na zinafunguka kwa wale walio jiunga na huduma yetu tu.

🔹singo movie zote zimefungwa na zinafunguka kwa walio jiunga na huduma yetu tu.

🔹Ili uweze kuangalia movie kwenye hii app lazima uwe na MB lakini pia unaweza kudownload movie kama utahitaji.

6. GHARAMA ZA KUJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE ZIPOJE.?

Mwezi mmoja ni 3,000, Miezi miwili ni 6,000 na Miezi mitatu ni 9,000

7. MTEJA ANAPOJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE

🔹Tunamfungulia movie zote ambazo zipo humu kwenye app

🔹Tunamuunga kwenye group letu la Whatsapp kwa ajili ya kupata taarifa na maelekezo muhimu.

8. UWAMINIFU NI ASILIMIA NGAPI.?

huduma yetu ni salama kwa asilimia 100 na watoa huduma wetu wanajua nini maana ya uwaminifu.

9. KAMA UNAHITAJI KUJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE   BONYEZA HAPA  

Maoni